MURATHE
Kwa kila mtaa kuna jamaa ambaye ni garagaria, yeye ndie hupewa all the odd jobs including petty errands, kuosha gari, kufyeka nyasi, mara ametumwa dukani, kuchota na kupandisha maji kwa gorofa, kupeleka bike za watoto kwa fundi etc etc, the list is long. The guy is generally not so bright you can call him a dimwit but he is a darling to everyone as he is very obedient ata kaa analipwa pesa kidogo, everyone loves him coz si mwizi na pia wale hawafikishi threshold maybe anawasaidia. Hapa kwetu mtaani jamaa anaitwa Murathe na anakuaga na madrama kweli, sijui alitokoka Murarandia pande gani akajipata hapa 001 coz ile ushamba anakuaga nayo inahitaji maombi ya all televangelists combined, ile kitu mie humtuma ni Gibleys peke yake saa ile sijiskii kwenda out (na mafegi siku zile nilikua navuta) after zile vituko amenonyesha. 1) kunasiku nimemtuma shopping kidogo usiku kwa kiosk anunue kanyama ka soo sukuma mosquito coil na tissue, jamaa kurudi aliweka kila kitu kwa fridge. 2) siku ingine ...